Search

304 results for Saada Amir :

  1. PRIME Undani sakata la vyama 19 vya wafanyakazi kuunda shirikisho jipya

    Wakati maandalizi ya sherehe za sikukuu ya wafanyakazi (Mei Mosi) yakiendelea, vyama 19 vya wafanyakazi wa sekta binafsi vinakusudia kuanzisha shirikisho lao, kwa sababu ya kile wanachodai...

  2. 'Uelewa mdogo chanzo cha wakulima kutotumia mbolea'

    Mkulima wa mazao ya nafaka wilayani Kwimba, Soji Kulwa ameiomba Serikali kuangalia bei ya mbolea akidai ndio chanzo wakulima wengi kushindwa kuitumia

  3. Maji yaongezeka Ziwa Victoria, wananchi watahadharishwa

    Wingi huu wa maji unavunja rekodi iliyowekwa Mei 2020, wingi ulikuwa 1134.84 wastani wa kina kutoka usawa wa bahari

  4. Mbowe alia mfumo mbovu wa upatikanaji wa viongozi nchini

    Asema hata umasikini uliopo nchini, unatokana na mfumo huo wa upatikanaji wa viongozi

  5.  Chadema yachefukwa kauli ya fedha za maendeleo anatoa Rais Samia

    “Tunataka Serikali isikilize hayo tunayolalamikia na iyatekeleze badala ya kuyapa kisogo,” amesema.

  6. Tanzania ya nne duniani kwa saratani ya shingo ya kizazi

    Katika kila wagonjwa 100 wanaougua saratani nchini, 23 kati yao wanaumwa ya mlango wa kizazi

  7. Hizi hapa dalili za changamoto ya afya ya akili kwa mjamzito

    Ofisa muuguzi huyo ameongeza kuwa changamoto ya afya ya akili kwa kundi hilo ni tatizo ambalo halijapewa kipaumbele, akidai Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa mapendekezo kuingiza huduma za...

  8. PRIME Aliyetoka jela kwa kesi ya kuua, atuhumiwa kuua tena mkewe

    Polisi mkoani Mwanza wanamshikilia Jackson Kalamji (49) kwa tuhuma za kumuua mke wake, Mariam Bulacha (42) kwa kumchoma visu sehemu mbalimbali za mwili.

  9. PRIME Kauli ya 'tutawapoteza' ya kigogo UVCCM moto

    Msajili wa vyama vya siasa, Jaji Francis Mutungi atoa neno. Sheikh Ponda akumbusha waliopotea

  10. PRIME Wivu wa mapenzi wadaiwa kuchangia kumuua mkewe kwa visu

    Mkazi wa Mwamanyili Halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza, Jackson Kalamji (49) anadaiwa kumuua mkewe, Mariam Bulacha (42) kwa kumchoma visu sehemu mbalimbali mwilini, baada ya kumtilia shaka kuwa...

Page 1 of 31

Next